
Sherehe za Nane Nane 2015 Kitaifa zilikua Mkoani Lindi na zilipata heshima ya kuwa na
Rais Jakaya Kikwete pamoja na Waziri wa Ujenzi
Dr.John Magufuli ambapo mbali na kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha sherehe hizo pia Rais aliitumia siku hiyo kuzindua rasmi kivuko cha
Mtwara.

Kivuko hicho kimepewa jina la
Mv Mafanikio na kitakua kikifanya safari zake kutoka
Msemo hadi upande wa pili unaoitwa
Msangamkuu,Uwezo wa kivuko hicho ni kubeba
abiria 600 na
Magari 6 mara moja na nimeambiwa pia kivuko hicho kimetumia
Bilion 3.3kwenye utengenezwaji wake.

Picha kwa hisani ya :
issamichuzi.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment