Kikosi cha Manchester United kimetua katika hoteli ya kifahari ya nyota tano Lowry Hotel tayari kwa mechi ya kwanza ya ligi ya Mabingwa.Mchezo huo unapigwa usiku wa leo kwenye uwanja wa Old Trafford katika jiji la Manchester.
Mchezo huo ni muhimu sana kwa Manchester ili iweze kupata nafasi ya kucheza makundi ya ligi ya Mabingwa Ulaya.
0 comments:
Post a Comment