Friday, 14 August 2015

                   

Mshambuliaji wa club ya Mashetani wekundu wa jijini London Adnan Januzaj amesema atapigania nafasi yake katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo baada ya kufunga goli lililoipelekea Man U kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Aston Villa mchezo uliopigwa katika uwanja wa Villa Park ijumaa iliyopita.

Zilikua ni tetesi tu na Januzaj alisikika akiiambia Skysports “nina furaha hapa nilipo na naitaji kupigania nafasi yangu"

0 comments:

Post a Comment