Saturday, 29 August 2015

Screen Shot 2015-08-29 at 4.42.55 PM

Ni wajibu wangu mtu wangu kukusogezea kila kinachonifikia na hii nisingependa ikupite,  Usiku August 28 ilikuwa ni usiku wa aina yake kwa upande wa burudani na ilitendewa haki na Christian Bella akiwa na Malaika Band pampja na Yamoto band
Ni usiku pia ambao uliudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema SepetuAunt Ezekiel,Moze IyoboLinaLuluTid MnyamaQ-ChifuSteve Nyerere na wengine
Screen Shot 2015-08-29 at 3.49.45 PM
kwenye Stage ni HK akizungumza wakati na waliohudhuria.

Screen Shot 2015-08-29 at 3.49.59 PM
Young Dee kwenye meza moja na manager wake Hellen Kazimoto
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.05 PM
Yamoto Band wakitoa burudani
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.11 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.16 PM
Hii ilikuwa poa sana jamaaa alipanda kwenye stage na kuonyesha show ya aina yake
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.23 PM
Beka One kutoka Yamato band akiimba kwa hisia
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.29 PM
Na huyu anaitwa Chiba ndio Dancer wa Yamoto Band ambaye ni mlemavu wa mguu mmoja lakini aliwashangaza mashabiki kwa kucheza kumuda mrefu bila kushikilia gongo
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.34 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.40 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.49 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.06 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.00 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.55 PM
Petiman, Wema Sepetu na Steve Nyerere wakionyesha kuvutiwa na show
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.11 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 5.13.06 PM
Aunt Ezekiel na Moze Iyobo katia ubora wao
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.16 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.23 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.52 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.43 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.33 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.52.40 PM
TID aliposhindwa kujizuia na kuamua kupanda juu ya meza ili acheze
Screen Shot 2015-08-29 at 3.52.48 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.52.58 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 4.40.35 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 4.40.45 PM

Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier League imeendelea leo katika viwanja mbalimbali nchini humo.

Mchezo huo uliopigwa  katika dimba la Stamford Bridge umemalizika kwa Crystal Palace kuharibu rekodi ya Mourinho kutopoteza mechi katika dimba la nyumbani.
Mechi hiyo imemalizika kwa matokeo ya ushindi wa 2-1 kwa Palace inayofundishwa na kocha wa zamani wa Newcastle – Alan Perdew.
Sako alianza kuifungia Palace goli katika dakika ya 65, kabla ya Radamel Falcao kusawazisha katika dakika ya 79.
Dakika ya 81, James Ward aliifungia Palace goli la ushindi na kuzidi kuiharibu rekodi ya Mourinho katika uwanja wa nyumbani ambapo leo alikuwa anatimiza mechi ya 100 tangu alipoanza kuifundisha tena timu hiyo.
Baada ya kuanza ligi vizuri kwa kushinda mechi mbili za mwanzo na kutoa sare moja, klabu ya Liverpool leo imeanza kuonja joto ya jiwe katika Barclays premier league.
 
Wakicheza kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Anfield – Liverpool wamepoteza mchezo wao wa kwanza msimu huu baada ya kukubali kipigo cha 3-0 kutoka West Ham.
 
Magoli ya West Ham ambao walifungua ligi kwa kuifunga Arsenal – yalifungwa na Lanzini katika dakika ya 3, Noble akaongeza la pili dakika ya 29, Sakho akafunga biashara kwa kushindilia msumari wa mwisho dakika ya 90.
Vikosi vilipangwa hivi: Liverpool: Mignolet, Clyne, Skrtel, Lovren, Gomez (Ibe 78), Can (Moreno 45), Lucas, Milner, Firmino (Ings 61), Benteke, Coutinho.
Subs not used: Sakho, Origi, Bogdan, Rossiter.
Booked: Lucas, Ings, Clyne.
Sent off: Coutinho 52.
West Ham: Randolph, Tomkins, Reid, Ogbonna, Cresswell, Kouyate, Obiang, Noble (Oxford 81), Lanzini, Sakho (Cullen 90), Payet (Jarvis 88).

Saturday, 22 August 2015


Wednesday, 19 August 2015

iphone 6 inashika no 3

Ugonjwa wa kipindupindu ulioibuka siku chache katika jiji la Dar es Salaam waua watu watatu hadi sasa.
wagonjwa wawili walifariki kwa ugonjwa huo juzi na mmoja amefariki jana usiku hivyo kufanya idadi ya wagonjwa kufikia watatu wakati huo huo wagonjwa 34 hadi sasa wamelazwa katika  wodi maalum iliyoandaliwa na hospitali ya Mwananyamala jijini Dar Es Salaam ili kuhakikisha kama wana Ugonjwa huo.
Katika kuhakikisha ugonjwa huo unadhibitiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda alisema jana "Tunachokifanya ni kutoa elimu kwa wananchi kupitia mabwana na mabibi afya, ili kuhakikisha wagonjwa hawaongezeki, ikiwezekana kuzuia kabisa maambukizi mapya kwa namna yoyote ile.
Mganga mkuu wa wilaya ya Kinondoni Aziz Msuya Alisema kuwa kambi maalum kwa ajili ya wagonjwa hao ya mburahati ipo tayari na wameshahamishia ikiwa tayari na wagonjwa 11 kutoka Mwananyamala


Chanza: Mwananchi


Kocha wa Manchester United Loius Van Gaal aonesha furaha yake wazi wazi baada ya Memphis Depay kuiwezesha team hiyo kufunga magori 3-1 dhidi ya Club brugge.

Katika mtanange huo uliopigwa katika dimba la old Trafford Club brugge ndo ilikua ya kwanza kupata gori baada ya Mchezaji wa Man U Michael Carrick kujifunga mnamo dak ya 8 ya mchezo.
Hata hivyo furaha ya gori hilo kwa timu ya Club Brugge halikudumu kwa muda mrefu kwani mnamo dakika ya 13 mchezaji wa zamani wa klabu ya PSV Memphis Depay alisawazisha na kufanya matokeo kuwa 1-1

Kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika M. Depay aliongeza bao lingine kwa timu yake ya Man U, matokeo yaliyodumu hadi kipindi cha kwanza kuisha.

Kipindi cha pili kilianza kwa timu ya Man U kushambulia na kutawala mchezo kwa muda mrefu hali iliyosababisha kupotea kwa matumaini kwa timu ya Club Brugge kurudisha bao hilo. Wakati mchezo ukielekea ukingoni kabisa Marouane Fellain alifunga gori la Tatu na kufanya mchezo kumalizika kwa matokeo ya 3-1.


Hata ivyo kocha Louis Van Gaal amesema ana Imani na ujasiri mkubwa kuwa wataendelea kupata ushindi na mchezaji huyo mpya katika kikosi hicho ataendelea kuipatia mabao mengi Zaidi Man U. Ameongeza kuwa ushindi huo ni hatua nzuri kwenye ligi ya Mabingwa Ulaya.

Tuesday, 18 August 2015


http://ge.tt/api/1/files/280IhOM2/0/blob?download


lory
 Kikosi cha Manchester United kimetua katika hoteli ya kifahari ya nyota tano Lowry Hotel tayari kwa mechi ya kwanza ya ligi ya Mabingwa.Mchezo huo unapigwa usiku wa leo kwenye uwanja wa Old Trafford katika jiji la Manchester.
Mchezo huo ni muhimu sana kwa Manchester ili iweze kupata nafasi ya kucheza makundi ya ligi ya Mabingwa Ulaya.
MAN1
MAN2
MAN3
MAN4
MAN5
MAN6

Saturday, 15 August 2015

Baada ya kutamba na Audio ya ngoma hii! Sasa Fred Swagg akimshirikisha Baraka Da Prince wanakuletea video ya nyimbo hii..Ngoma inaitwa “Kikomo”…Itazame na kuidownload hapa chini.

Msanii Olamide kutoka Nigeria amekuja na video ya ngoma yake mpya inayoitwa Lagos Boys, Icheki hapa…
BANNED-CARDS-1024x421
Taarifa rasmi kutoka TCRA ni kwamba Sheria ya Matumizi ya Mitandao itaanza rasmi September 2015 Tanzania, hali iliyopo sasahivi kumekuwa na ishu ya uzushi na uvumi mwingi sana mitandaoni, wapo ambao wanaendesha account kwenye Mitandao ya Kijamii na wanatumia majina ya watu wengine, na bado wametumia kivuli hichohicho kueneza taarifa za uongo, kama ukifanya hivyo China hauko kwenye upande salama hata kidogo !!
Kuna mlipuko ambao umetokea Jiji la Tianjin China siku chache zilizopita, watu zaidi ya 50 wamefariki na wengine zaidi ya 700 walijeruhiwa.
b083fe96fac21738d9824f
Moshi ukiendelea kufuka baada ya mlipuko kutokea Jiji la Tianjin, China.
Baada ya tukio hilo kuna watu ambao walianza kusambaza uzushi kwenye mitandao kwamba kuna milipuko mingine imetokea, watu wengine wamefariki na kujeruhuiwa !! Haikuwa kweli, Serikali ya China haikuwaacha waliozusha huu uongo, account 360 za watu kwenye Mitandao ya Kijamii zimefungiwa.
Kwenye account zilizofungwa zipo pia nyingine ambazo watu walianzisha wakidanganya watu kwamba wao ni ndugu na jamaa wa waathirika wa mlipuko huo kwa hiyo walikuwa wanahitaji kuchangiwa misaada mbalimbali.