Saturday, 5 September 2015

Soko kubwa la wasanii wa Tanzania kwa sasa wanajitahidi sana kuwekeza upande wa video na kiukweli mabadiliko yanaonekana kabisa namna ambavyo wasanii wetu wanavyotumia gharama kwenye muziki huu ambao kwa sasa umekua ajira.
Belle Nine ameshare na sisi kipande kidogo cha sekunde kadhaa kutuonyesha kitakachoonekana kwenye video ya wimbo wake wa  Shauri zao,video hii inaongozwa naHasncana,kwa sasa Belle Nine yuko chini ya uongozi mpya unaosimamia kazi zake.

0 comments:

Post a Comment