Saturday, 5 September 2015

Hatua ya kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON2017) kundelea weekend hii katika viwanja tofauti tofauti barani Afrika, Nimeona nikusogeze na ratiba ya mechi za Septemba 5 na 6 za michezo kadhaa ya hatua ya hii.
Ratiba ya mechi za Jumamosi ya Septemba 5
  1. Tanzania Vs Nigeria      16:30
  2. Liberia Vs Tunisia         19:00
  3. Sudan Kusini Vs Equatorial Guinea 16:30
  4. Comoros Vs Uganda 15:00
  5. Botswana Vs Burkina Faso  17:00
  6. Sao Tome and Principe Vs Morocco 18:30
  7. Rwanda Vs Ghana 16:30
  8. Seychelles Vs Ethiopia 15:30
  9. Burundi Vs Niger 16:30
  10. Namibia Vs Senegal 16;30
  11. Mauritania Vs Afrika Kusini 20:00
  12. Guinea-Bissau Vs Congo 19:00
Ratiba za mechi ya Jumapili Septemba 6
  1. Madagascar Vs Angola 14:30
  2. Central African Republic Vs DR Congo 17:00
  3. Benin Vs Mali 18:00
  4. Kenya Vs Zambia 16:00
  5. Libya Vs Cape Verde 20:00
  6. Chad Vs Misri 17:30
  7. Mauritius Vs Msumbiji 14:00
  8. Sierra Leone Vs Ivory Coast 18:00
  9. Lesotho Vs Algeria 16:00
  10. Swaziland Vs Malawi 16:00
  11. Zimbabwe Vs Guinea 16:00
  12. Gambia Cameroon 19:30
Soko kubwa la wasanii wa Tanzania kwa sasa wanajitahidi sana kuwekeza upande wa video na kiukweli mabadiliko yanaonekana kabisa namna ambavyo wasanii wetu wanavyotumia gharama kwenye muziki huu ambao kwa sasa umekua ajira.
Belle Nine ameshare na sisi kipande kidogo cha sekunde kadhaa kutuonyesha kitakachoonekana kwenye video ya wimbo wake wa  Shauri zao,video hii inaongozwa naHasncana,kwa sasa Belle Nine yuko chini ya uongozi mpya unaosimamia kazi zake.

Saturday, 29 August 2015

Screen Shot 2015-08-29 at 4.42.55 PM

Ni wajibu wangu mtu wangu kukusogezea kila kinachonifikia na hii nisingependa ikupite,  Usiku August 28 ilikuwa ni usiku wa aina yake kwa upande wa burudani na ilitendewa haki na Christian Bella akiwa na Malaika Band pampja na Yamoto band
Ni usiku pia ambao uliudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema SepetuAunt Ezekiel,Moze IyoboLinaLuluTid MnyamaQ-ChifuSteve Nyerere na wengine
Screen Shot 2015-08-29 at 3.49.45 PM
kwenye Stage ni HK akizungumza wakati na waliohudhuria.

Screen Shot 2015-08-29 at 3.49.59 PM
Young Dee kwenye meza moja na manager wake Hellen Kazimoto
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.05 PM
Yamoto Band wakitoa burudani
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.11 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.16 PM
Hii ilikuwa poa sana jamaaa alipanda kwenye stage na kuonyesha show ya aina yake
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.23 PM
Beka One kutoka Yamato band akiimba kwa hisia
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.29 PM
Na huyu anaitwa Chiba ndio Dancer wa Yamoto Band ambaye ni mlemavu wa mguu mmoja lakini aliwashangaza mashabiki kwa kucheza kumuda mrefu bila kushikilia gongo
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.34 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.40 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.49 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.06 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.00 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.50.55 PM
Petiman, Wema Sepetu na Steve Nyerere wakionyesha kuvutiwa na show
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.11 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 5.13.06 PM
Aunt Ezekiel na Moze Iyobo katia ubora wao
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.16 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.23 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.52 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.43 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.51.33 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.52.40 PM
TID aliposhindwa kujizuia na kuamua kupanda juu ya meza ili acheze
Screen Shot 2015-08-29 at 3.52.48 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 3.52.58 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 4.40.35 PM
Screen Shot 2015-08-29 at 4.40.45 PM

Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier League imeendelea leo katika viwanja mbalimbali nchini humo.

Mchezo huo uliopigwa  katika dimba la Stamford Bridge umemalizika kwa Crystal Palace kuharibu rekodi ya Mourinho kutopoteza mechi katika dimba la nyumbani.
Mechi hiyo imemalizika kwa matokeo ya ushindi wa 2-1 kwa Palace inayofundishwa na kocha wa zamani wa Newcastle – Alan Perdew.
Sako alianza kuifungia Palace goli katika dakika ya 65, kabla ya Radamel Falcao kusawazisha katika dakika ya 79.
Dakika ya 81, James Ward aliifungia Palace goli la ushindi na kuzidi kuiharibu rekodi ya Mourinho katika uwanja wa nyumbani ambapo leo alikuwa anatimiza mechi ya 100 tangu alipoanza kuifundisha tena timu hiyo.
Baada ya kuanza ligi vizuri kwa kushinda mechi mbili za mwanzo na kutoa sare moja, klabu ya Liverpool leo imeanza kuonja joto ya jiwe katika Barclays premier league.
 
Wakicheza kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Anfield – Liverpool wamepoteza mchezo wao wa kwanza msimu huu baada ya kukubali kipigo cha 3-0 kutoka West Ham.
 
Magoli ya West Ham ambao walifungua ligi kwa kuifunga Arsenal – yalifungwa na Lanzini katika dakika ya 3, Noble akaongeza la pili dakika ya 29, Sakho akafunga biashara kwa kushindilia msumari wa mwisho dakika ya 90.
Vikosi vilipangwa hivi: Liverpool: Mignolet, Clyne, Skrtel, Lovren, Gomez (Ibe 78), Can (Moreno 45), Lucas, Milner, Firmino (Ings 61), Benteke, Coutinho.
Subs not used: Sakho, Origi, Bogdan, Rossiter.
Booked: Lucas, Ings, Clyne.
Sent off: Coutinho 52.
West Ham: Randolph, Tomkins, Reid, Ogbonna, Cresswell, Kouyate, Obiang, Noble (Oxford 81), Lanzini, Sakho (Cullen 90), Payet (Jarvis 88).

Saturday, 22 August 2015


Wednesday, 19 August 2015

iphone 6 inashika no 3